![]() |
Waziri wa fedha doctor mwigulu nchemba ametoa tamko kuwa kuanzia daras LA kwanza adi form six hawatalipa ada tena .
Serikali ya Tanzania imeona mbali na imekomboa familia zetu za kimaskin ili kuwez kupat elim kwa kila MTU .
Usishau kutembelea blog hii ili uweze kujipatia taarifa mbali mbali
